20 May, 2014

UBALOZI WA MAREKANI KUHAMISHIA SHUGHULI ZAKE TANZANIAa!



Serikali ya Marekani imesema itapunguza wafanyakazi katika ubalozi wake nchini Kenya kutokana na kitisho cha ugaidi.



Marekani imechukua hatua hiyo baada ya vitisho na mashambulizi ya kigaidi kuzidi kupamba moto nchini Kenya, ambapo jana watu 10 walikufa na wengine wengi kujeruhiwa kutoana na bomu lililolipuka jijini Nairobi.

Marekani imesema itahamishia baadhi y shughuli zake nchini Tanzania au Ethiaopia.








No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...