JoJoTheFighter anapenda kumpa hongera Msanii Keisha kwa kujifungua mtoto wa pili na wa kiume, Jumatatu ya wiki hii kwenye hospitali ya Mount Mkombozi iliyopo Kinondoni.
1 
Keisha akiwa amelala na mtoto wake
 2 
Huyu ndie mtoto wa pili wa Keisha
 3