08 May, 2014

UGONJWA WA DENGE WAMKUMBA DR. CHENI, YUPO HOSPITALI

Dr.Cheni akiwa amelazwa hospitalini huku msanii mwenzake Chiki Mchoma akimjulia hali
Star wa filamu nchini Muhsin Awadh "Dr.Cheni" amelazwa hospitalini kwa ugonjwa mpya uliogundulika hivi karibuni ambao unaitwa Dengue. Ugonjwa huo unaenezwa na mbu jike na moja ya dalili kuu za mtu kuumwa ugonjwa huo ni kuishiwa damu na maji mwilini kila mara. Akizungumza na blogu fulani Dr.Cheni amesema ...

Mungu akusaidie upone haraka Dr.Cheni
blah

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...