20 May, 2014

KICHEKESHO CHA SIKU

VICHAA walikuwa wanasafirishwa kutoka Iringa kwenda Milembe Hospital Dodoma. Kufika Mikumi kundi la Simba likaonekana barabarani. Dokta akawaambia . . . . .
DOKTA:- Mnawaona Simba hao??!
VICHAA:- Anhaaaa!! Kumbe hawa ndio Simba?!!
DOKTA:- Eeeh!! Hawa ndio Simba wenyewe!
VICHAA:- Sasa pale Kaseja ndo yupi??!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...