03 May, 2014

LULU MICHAEL AFUNGUKA JUU YA MABOSI WANAOPENDA KUPATA URODA KWA WASANII WA KIKE KABLA AU BAADA YA KAZI..!!



STAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao.Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wa gazeti pendwau kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:
“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii bila kuomba penzi, si wote, wapo wasioomba,” alisema Lulu ambaye aliwahi kutajwa kuwa anatembea na mmoja wa mabosi wake wa sasa.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...