03 May, 2014

BAADA YA ODAMA HUYU NI MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIES ALIYEBEBA MIMBA KIMYA KIMYA NA KUJIFUNGUA KIMYA KIMYA MTOTO WA KIUME


 STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa katika jambo hilo.
Akizungumza na gazeti pendwa, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma.
“Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha sana kuitwa mama,” alisema Aisha na kuongeza kuwa, mwanaume aliyezaa naye ni mchumba wake wa siku nyingi ambaye anaishi nje ya nchi na wanatarajia kufunga ndoa siku si nyingi.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...