Mwana mama Kim Kardsshian ambaye ni mpenzi wa Kanye West, ikiwazimebaki
siku chache tu wawili hao wafunge ndoa....usiku wa juzi mwana mama huyo
ameonekana mitaa ya HOLYHOOD akiwa na jamaa katika mapozi ya
UTATA...vyombo vya udaku nchini Marekani vinasema labda ni mambo ya
MICHEPUKO....bado haijafaamika jamaa huyo ni nani hasa na Kanye West
bado ajasema chochote kuhusi hili.....jionee mwenyewe picha hizo...


No comments:
Post a Comment