21 June, 2014

KIJANA ALIPUKIWA NA SIMU USONI

Taarifa iloenea sehem tafauti za mji wa Zanzibar:-
Kuna kijana anajulikana kwa jina   la Ally mkaazi wa michenzani (kiswandui)jirani na kwa bimkubwa stadi umri wake miaka 22 amefariki ghafla, na sababu ya kifo chake ni kuwa :-
Alikuwa akicharge simu yake kwa kutumia laptop na wakati huo huo alikuwa anazungumza na mtu kupitia simu hiyo,baada ya simu kupata joto kali (over heat), simu hiyo ilimlipukia na kumuathiri sehemu za mikono, uso hasa upande alioweka simu hiyo na kupelekea kufariki dunia.
Tafadhali wataadharishe ndugu, jamaa na marafiki zako kuhusu matumizi ya simu. Ni hatari ku charge simu na wakati huo huo ukiwa unaitumia kuzungumza.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...