Mtoto wa ajabu amezaliwa huko wilayani Makete mkoani Njombe usiku wa kuamkia tarehe kumi na saba june 2014.
Ukimuona
mtoto ngozi yake ni kama amevaa koti kubwa kushinda uwezo wa mwili wake
Daima kyando alisema mtoto huyo wa ajabu alikua na tumbo kubwa
lililomeza viungo vingine vya mwili kama miguu,mikono,kiuno na shingo.
Akiendelea
zaidi reporter huyo mahiri alisema mama wa mtoto huyo ambaye jina lake
halikupatikana mara moja alikua na afya nzuri na kuonesha kuwa mimba
yake ilikua ya kawaida kwani alihudhuria clinic kama kawaida na
hakupatikana na matatizo yoyote.
Habari
zaidi zinasema kuwa mtoto huyo alizaliwa akiwa amekwisha fariki na
alizaliwa kwa njia ya upasuaji,chanzo cha tatizo la mtoto huyo
hakikuweza kufahamika mara moja mpaka tunaenda mtandaoni madaktari
walikuw wakiendelea na uchunguzi.
No comments:
Post a Comment