08 May, 2023

HII NDIO THE MAKING YA HASSAN MBANGWA HOT ZAIDI

 
JoJoTheFighter & Hassan Mbangwa katika picha ya pose

Miongoni mwa ma director wa video wanaoheshimika kwa kazi nzuri nchini Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania huwezi kuacha kutaja jina la Hassan Mbangwa!

Amesha fanya video nyingi hasa za Gospel zikiwemo Dunia Haina Huruma ya Bahati Bukuku, Fanya Njia ya Flora Mbasha, Ombi langu kwa Mungu ya Martha Mwaipaja, Mungu anacheka ya Rose Muhando na nyingine nyingi....


Tizama the making ya muimbaji wa Gospel Mary Ruhasha, jinsi ambavyo Hassan Mbangwa akitoa maelekezo ya kina kwa muimbaji huyo na kufanikisha video matata na ya aina ya kipekee kabisa!...












No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...