29 August, 2016

MBOWE ABAKI NA SAA 24 ZA KUIOKOA BILICANAS

KAMPUNI ya Mbowe Hotels Limited (MHL) imebakiwa na siku ya leo tu, kuwa tayari imelipa deni la Sh bilioni 1.3 ya kodi, ambalo inadaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili  kujinasua katika hatari ya kuondolewa katika jengo la shirika hilo, lililopo katika makutano ya mitaa ya Mkwepu na Indira Gandhi (Makunganya) jijini Dar es Salaam.

Jengo hilo ni maarufu kutokana na kuendesha shughuli mbalimbali za starehe na burudani kutokana na kuwepo kwa Club maarufu ya Billicanas.Billicanas.

Hatua hiyo inatokana na notisi mbili zilizotolewa; moja na Shirika la Nyumba la Taifa Juni 24, mwaka huu, ikitishia kuvunja makubaliano a mkataba wa ukodishaji wa jengo hilo, na kufuatiwa na notisi ya Kampuni ya Udalali wa Mahakama ya Fosters, ambazo zote zinamalizika muda wake leo.

Mbowe alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari mwishoni mwa wiki, akilihusisha deni hilo na masuala ya kisiasa, kwa madai kuwa suala hilo linakuzwa na kupotoshwa ili kumnyamazisha katika harakati za kisiasa, bila kukiri uwepo wa shauri baina ya pande hizo mbili juu ya deni hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu, alithibitisha kuwepo kwa mpango wa kuiondoa kwa nguvu kampuni ya Mbowe katika jengo hilo,

Jiunge nami 


 Insta@jojothefighter,

fb@josephinejoseph 

twitter@jojothefighter

 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...