09 September, 2014

HII NDIO BENDERA YA ACT, RANGI NA MAANA ZAKE

HII NDIO BENDERA YA ACT,RANGI NA MAANA ZAKE
Bendera ya cham cha ACT - TANZANIA,ina rangi ya zambarau kuwakilisha taswira ya mchanganyiko wa wanachama kila kona ya nchi,utambuzi wa umuhimu wa wananwake,familia katika jamii, pia ni alama yenye kujali makundi yenye mahitaji maalum na ya ziada katika jamii kama ile watoto, wazee na walemavu.

NYOTA; Nama ya kumulika na kuagaza ikiasiria uwazi ambo ndio msingi mkuu w ACT.

RANGI ZA BENDERA YA TAIFA; Kashiria uzalendo,upendo na utayari wa kuliinda na kulitumikia taifa Bendera ya cham cha ACT - TANZANIA, ina rangi ya zambarau kuwakilisha taswira ya mchanganyiko wa wanachama kila kona ya nchi, utambuzi wa umuhimu wa wananwake, familia katika jamii, pia ni alama yenye kujali makundi yenye mahitaji maalum na ya ziada katika jamii kama ile watoto, wazee na walemavu.
NYOTA; Namna ya kumulika na kuangaza ikiashiria uwazi ambo ndio msingi mkuu wa ACT.
RANGI ZA BENDERA YA TAIFA; Kashiria uzalendo, upendo na utayari wa kuliinda na kulitumikia taifa

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...