Bunge Maalum Kuahirishwa? Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo!
Makamu mwenyekiti wa Bumge Maalum la Katiba ameawatangazia wandishi wa habari wakati akiahirisha Bunge.
=======
UPDATES:
- Cheyo anasema wamekubaliana na JK kuwa Bunge lirekebishe Katiba Iliyopo. Aidha, anasema wamekubaliana marekebisho yaruhusu Matokeo ya Urais yaweze kuhojiwa Mahakamani na kuwepo na Mgombea Binafsi uchaguzi 2015
- Mchakato wa Katiba Mpya utaendelea baada ya uchaguzi 2015!
No comments:
Post a Comment