Wanasayansi
watafiti wamegundua kwamba japokuwa wanaume wote kwa asili ya ubongo wao wana hasira
zinazohusisha fujo na ugomvi “violence”,
sehemu hii ya ubongo wa mwanaume inaweza kutulizwa na mambo mawili; a) Nafasi
ya mwanaume huyu katika jamii mfano cheo kazini au heshima anayopata kutoka
kwenye jamii yake na b) ndoa iliyo imara, hii inamaanisha kwamba mwanaume asiye
na jukumu lolote, wala cheo, kipaji au kuheshimika katika jamii na yule mwenye
ndoa inayoyumba au yenye migogoro sana wananafasi kubwa ya kuonyesha hasira
kali tena zenye fujo na magomvi kwa wale wanaowazunguka, hama namaanisha kwamba
ukiona mwanaume unayefanya naye kazi au rafiki yako mwingine anatabia za hasira
za mara kwa mara, au tabia ya fujo zisizokuwa na sababu, anza kutilia shaka
mahusiano yake na mpenzi wake au na mkewe.
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...

No comments:
Post a Comment