08 September, 2014

KIMENUKA BUNGE LA KATIBA

SERIKALI YAUMBUKA.......!!

Wajumbe wa BUNGE la KATIBA wa kundi la 201 walichaguliwa KIMAGUMASHI CCT yasema.

Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT imelivua nguo BUNGE la KATIBA pamoja na mamlaka ya uteuzi yaani Mhe Rais Kikwette kwa hatua yake ya kuwakana wajumbe wa BUNGE hilo wanaodaiwa kuteuliwa kuwakilisha tasisi za DINI hiyo.

CCT imedai kumtambua mwakilishi moja tu waliomtaja kwa jina moja tu Esther Msambazi wakimueleza kama Mkristo wa kawaida tu.(lay christian ) wala sio KIONGOZI wa dhehebu lolote la wanachama wa CCT ama mzee wa KANISA.

Wachungaji na Maaskofu waliomo ndani ya BUNGE hilo wakiwemo Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Donald Leo Mtetemela, Mchungaji waKanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ernest Kadiva na Askofu wa Dayosisi ya kati Dodoma Amos Muhagachi, HATUKUWAPENDEKEZA SISI Mamlaka iliyo wateua inajua imewatoa wapi na kwa lengo gani.

CCT tunatangaza kuwa wachungaji na Maaskofu mnaowaona BUNGENI hatukuwachagua sisi nahatuna taarifa walichaguliwa kwa njiaipi kuwa wajumbe.

Kama ambavyo ilitangazwa na Rais Kikwette Januari 2014 kuwa kila Tasisi zipeleke mapendekezo ya wajumbe wanaoweza kuteuliwa kuwa wajumbe BUNGE Maalumu

CCT ilipeleka wajumbe tisa ambao kati yao mjumbe mmoja tu ambaye ni Esther Msimbati aliteuliwa.CCT tunasema hatutambui viongozi hao hivyo sio wawakilishi wetu ndani ya BUNGE hilo Jukwaa hilo huundwa na tasisi za TEC, CCT,PCT na SDA.

NB Ikumbukwe kuwa tuliwahi kusema uteuzi huu Mhe Rais aliufanya KIUJANJA UJANJA hadi ikafikia kumfanya NGOMBALE MWIRU kuwa anawakilisha WAGANGA wa kienyeji sasa anaumbuka.

#UKAWA

Wajumbe wa BUNGE la KATIBA wa kundi la 201 walichaguliwa KIMAGUMASHI CCT yasema!!!
Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT imelivua nguo BUNGE la KATIBA pamoja na mamlaka ya uteuzi yaani Mhe Rais Kikwette kwa hatua yake ya kuwakana wajumbe wa BUNGE hilo wanaodaiwa kuteuliwa kuwakilisha tasisi za DINI hiyo.
CCT imedai kumtambua mwakilishi moja tu waliomtaja kwa jina la Esther Msambazi wakimueleza kama Mkristo wa kawaida tu. (lay christian ) wala sio KIONGOZI wa dhehebu lolote la wanachama wa CCT ama mzee wa KANISA.
Wachungaji na Maaskofu waliomo ndani ya BUNGE hilo wakiwemo Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Donald Leo Mtetemela, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ernest Kadiva na Askofu wa Dayosisi ya kati Dodoma Amos Muhagachi, HATUKUWAPENDEKEZA SISI. Mamlaka iliyo wateua inajua imewatoa wapi na kwa lengo gani.
CCT tunatangaza kuwa wachungaji na Maaskofu mnaowaona BUNGENI hatukuwachagua sisi na hatuna taarifa walichaguliwa kwa njiaipi kuwa wajumbe.
Kama ambavyo ilitangazwa na Rais Kikwete Januari 2014 kuwa kila Tasisi zipeleke mapendekezo ya wajumbe wanaoweza kuteuliwa kuwa wajumbe BUNGE Maalumu
CCT ilipeleka wajumbe tisa ambao kati yao mjumbe mmoja tu ambaye ni Esther Msimbati aliteuliwa.CCT. Tunasema hatutambui viongozi hao hivyo sio wawakilishi wetu ndani ya BUNGE hilo Jukwaa hilo huundwa na tasisi za TEC, CCT,PCT na SDA.
NB Ikumbukwe kuwa tuliwahi kusema uteuzi huu Mhe Rais aliufanya KIUJANJA UJANJA hadi ikafikia kumfanya NGOMBALE MWIRU kuwa anawakilisha WAGANGA wa kienyeji sasa anaumbuka.
‪#‎UKAWA‬

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...