Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
25 September, 2014
MTOTO HAPPINES ATOA MAAJABU YA KUTEMBEA KAMA NYOKA
Siku moja baada ya mtoto Happiness Robert kupotea tena katika mazingira ya kutatanisha huko nyumbani kwao Mkuranga, Jeshi la polisi kanda maalum limefanikiwa kumpata mtoto huyo katika bandari ya Dar es Salaam sehemu ya kupandia meli za kwenda Zanzibar. Jeshi hilo lilimpata mtoto huyo majira ya saa moja na nusu usiku ambapo askari hao wakiwa doria kwenye eneo hilo. Akithibitisha kuokotwa kwa motto huyo kamanda wa polisi Mkoa wa Ilala Mary Nzuki amesema kwamba kwa mujibu wa askari waliomuokota walipomuhoji mtoto huyo alisema anataka kurudi tena Zanzibar. Akizungumza mama wa Mtoto huyo amesema kwamba baba wa motto huyo wameachana tangu miaka sita iliyopita na walikuwa katika mgogoro hadi kufikishana katika vyombo vya dola na baada ya hapo ndipo hali hii inayo mkuta mtoto wake kuanza kumtokea. Aidha Mama huyo amesema kwamba motto huyo amekuwa wa maajabu sana kwake kwani kuna wakati anatembea kama nyoka. Naye motto huyo amesema kwamba kuna mtu alikuja kumchukua usiku na kumpeleka hapo bandarini na kasha kumtelekeza hapo. Hata hivyo motto huyo amesema kwamba anahitaji msaada wa kuendelea kusoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...

-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Somebody was working in a hospital as an IT engineer, as the hospital is planning to set up a database of its patients and he knows some ...
No comments:
Post a Comment