19 September, 2014

MWANAFUNZI AJINYONGA KWA KUKOSA MATIBABU MKOANI KAGERA

Mwanafunzi wa kidato cha 5 shule ya sekondari Ihungo Ezera Gerald (19) Ameamua kujinyonga kwa kutumia shuka lake katika hospital ya mkoa wa Kagera baada ya kulazwa hospitalini hapo bila kupata huduma na kuacha ujumbe akisema si halali kwa mwanadamu kutibiwa kama mnyama.
Kutokana na tukio ili la kusikitisha unahisi nani alaumiwe na unajifunza nini?

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...