09 September, 2014

NI KAULI YA KIONGOZI YUPI ILIYOKUUMIZA 2000-2013?

1. Kuleni nyasi, ndege ya Rais lazima inunuliwe (MRAMBA)

2. Asiyeweza kulipia nauli ya pantoni aogelee  (MAGUFULI)

3. Waliochukia nilipopanda Helikopta ya jeshi kwenda Urambo, walitaka nipande Punda? (KAPUYA)

4. Wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia makalio  (MASABURI)

5. Anaeyaona maisha ya Zanzibar  magumu ahame  
   (A. KARUME)

6. Ukitaka kula lazima uliwe (J. KIKWETE)

7. Mnaniuliza mvua kwani mimi waziri wa mvua? (WASIRA)

8. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao (J. KIKWETE)

9. Anaeona umeme ni ghali atumie kibatari (SIMBACHAWENE)

10. Wakibisha, pigeni tu (MIZENGO PINDA)

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...