16 September, 2014

WATUMIAJI WA SMARTPHONES WATENGEWA BARABARA YAO HUKO CHINA

Kutokana na kuwepo watumiaji wa smartphones takribani 80% ya watu duniani hutumia smartphone kwa sasa. Jiji moja la huko nchini China lijulikanayo kama Chongqing wameamua kutenga sehemu maalumu kwa watumiaji wa Smartphones ambao watakuwa wakitembea huku wanatumia smartphones zao.
Hata hivyo jiji hilo limefanya hivyo kutokana nakuona watu wengi hasa wakazi waishio jiji hilo kuwa watumiaji sana "Addicted" na smartphone na kuona ni bora watengewe sehemu yao maalumu hii pia itasaidia kuepusha ajali za hapa na pale kwani watumiaji hao watakuwa wakitumia smartphones zao wawapo barabarani katika sehemu yao maalumu walitengewa.
AndroidAuthority

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...