Pichani ni bara bara ya Old Bagamoyo ikiwa imejaa maji baada kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Licha
ya kuwepo kwa madimbwi ya maji yaliyochanganyikana na maji taka
kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam , raia hao
wa kigeni ambao hawakufahamika wanatoka taifa gani walinaswa na kamera wakipita maeneo ya posta mpya jirani
na jengo la IPS wakiwa pekupeku jambo ambalo ni hatari kwa afya zao.
Hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja walikokuwa wakienda.
Kwa
miaka ya hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya madhehebu kutoka nje ya
nchi ambayo waumini wake hawavai viatu kutokana na imani zao.
Picha na Dotto Mwaibale.


No comments:
Post a Comment