06 October, 2014

AKON KANUSHA KUTUMBUIZA KWENYE PUTO ILI KUJIKINGA NA EBOLA

Wiki hii Akon amejikuta akishutumiwa vikali na mashabiki wa muziki barani Afrika kwa kuamua kutumbuiza akiwa ndani ya puto huko Goma nchini DRC kwa kile kilichotafsiriwa na wengi kuwa alikuwa akijikinga na Ebola.
par7983044
Hata hivyo Akon amekanusha madai hayo kwakuwa miaka minne iliyopita alitumbuiza kwa mtindo huo huko Australia na Dubai.
Kupitia Twitter, Akon ameandika:
“This bubble has been apart of my show for years. Way before Ebola existed. Let’s try n stop Ebola before it spreads. It’s sad how the media spin everything so negatively. I would never intentionally isolate myself from my African people.”

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...