12 October, 2014

ASKARI TUNGIIIIII AKIWA NA SARE ZA KAZI


Picha ya askari mwingine inayomuonesha akiwa kazini huku akiwa yupo viroba vya kutosha yani kalewa sana kiasi ya kwamba hapo network imekata kabisa , Picha hii imezambaa kwenye mitandao na bado haijulikana ni askari wa wapi na kituo gani ila uchunguzi bado unaendelea ili kuweka kila kitu wazi na iwe fundisho kwa Askari wengine wenye tabia kama hiz...
Picha ya askari mwingine inayomuonesha akiwa kazini huku akiwa yupo viroba vya kutosha yani kalewa sana kiasi ya kwamba hapo network imekata kabisa , Picha hii imezambaa kwenye mitandao na bado haijulikana ni askari wa wapi na kituo gani ila uchunguzi bado unaendelea ili kuweka kila kitu wazi na iwe fundisho kwa Askari wengine wenye tabia kama hizi


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...