21 October, 2014

BABU TALE AFUNGUKA YA MOYONI! BAADA YA DIAMOND KUZOMEWA KATIKA SHOO YA FIESTA DAR... !

Moja ya vitu ambavyo havikwenda sawa kwenye tamasha la #Serengetifiesta2014 baada ya kikundi cha watu wachache badala ya kusambaza upendo walikuwa wakisambaza chuki pale Leaders Club kumzomea Diamond na taarifa hizo zilienea kabla ya kuanza kwa shoo hiyo.

Meneja wa Diamond Platinum, Babu Tale amezungumza na 255 ya xxl amesema kuwa walipata taarifa hizo kabla ya shoo kuwa kuna watu wamekodiwa kumzomea Diamond lakini Kama uongozi walikaa na msanii wao na kumshauri afanye shoo kama ratiba ilivyopangwa na asitetereke na kitakachotokea.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...