Wamekamatwa kwa kufanya maandamano ya Amani ya kuelekea Ikulu kumwomba Mh Rais asipokee rasimu iliyochakachuliwa...naimani unafahamu fika jinsi rasimu hiyo imekuwa na utata na mpaka mwisho mambo mengi muhimu na ya msingi ya Kitaifa yameondolewa na wabunge wa Bunge maalumu la Katiba....
Sasa nauliza, kosa la Halima na wafuasi wake (Bawacha) ninini? Kupeleka kilio chao kwa Rais? Je maandamano si haki ya kikatiba? Kuna nini nyuma ya huu mtindo wa polisi kupiga raia badala ya kuhakikisha usalama wa raia???
No comments:
Post a Comment