
Kuna hatari hata ya kukatana mapanga , Kinachoonekana Hapo kwenye hiyo Nyumba ni kukosa maridhiano kati ya majirani hao wawili , Huyu mwenye nyumba inaonekana alijenga nyumba yake na kuingia kidogo katika kiwanja cha mwingine ambae nae baada ya kukuta hivyo akajenga ukuta kwenye mpaka wake ambao ukuta umeingia mpaka kibarazani kwa Jirani.....Unawaambia nini Watu Hapo ?
No comments:
Post a Comment