Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Prof Ibrahim Lipumba akiwaandaa wafuasi wake kushiriki MAANDAMANO makubwa yatakayo itishwa na chama hicho hivi karibuni.
"Tutaikataa KATIBA ya "VIJISENTI" kwa namna yoyote, Mpaka sasa tunauhakika kwa 85% wazanzibari wataikataa kwenye KURA za MAONI tunajiandaa kwa watanzania bara nao waikatae "
WITO: vijana anzeni MAZOEZI ya VIUNGO kwajili ya MAPAMBANO ushindi upo njiani POLISI wapo 35,000 tu. watanzania tupo 45m.
No comments:
Post a Comment