11 October, 2014

KAA CHONJO NA MATAPELI, KWA KIGEZO CHA KUMTAFUTIA MTU KAZI

Kale kautapeli ka Kutumia Watu message na kuahidi kukutafutia Kazi kwa malipo kidogo kameanza Tena Safari hii wameamia Kwenye Whats app ..Ona hii Message Katumiwa kijana mmoja ..Jisomee Hapo Kwenye Picha Juu....Wandugu umakini ni muhimui kwa Message Kama Hizo ..Si za kweli ukituma tu Hela Imekula Kwako...Akili Kichwani kwako...

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...