
Mjumbe wa Bunge la Katiba alia Hadharani Kujulisha Umma Hajapiga kura Bungeni wala Hakuwepo
Aliyekuwa mjumbe wa katiba atoa kali ya mwaka baada ya kuangua kilio kupinga uchakachuaji kwamba alipiga kura ya kuipitisha. Mjumbe huyo anaitwa Haji Omar Khamis ambae ni Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Zanzibar. Amesisitiza kuwa yeye hakushiriki, wala kujadili wala kupiga kura. Lakini jina lake limeandikwa kwenye katiba pendekezwa kuwa ni miongoni mwa wajumbe walioshirikikuipitisha. Katika tukio hilo, lilimsababishia kupandwa na pressure na kukimbizwa hospitali.
No comments:
Post a Comment