21 October, 2014

MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA (COFFEE CURING), MKOANI KILIMANJARO




Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa jana asubuhi katika Mfereji wa Maji ulioko jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.


 Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana



Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa 


Maiti ya mwanaume huyo ukiwa umelazwa katika gari la Askari, baada ya kutolewa kwenye mfereji huo.




Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo kwenye gari la Polisi.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...