12 October, 2014

NICK WA PILI KUWA MSANII WA KWANZA WA BONGO FLAVOUR KUCHUKUA PhD TANZANIA.

Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD , 
Rapper wa ngoma ya "sitaki kazi" alipokua akizungumza na kipindi cha XXL cha clouds fm siku ya leo Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ame apply na amepata nafasi chuo kikuu cha Dar es salaam na week ijayo anaanza registration, alipoulizwa kuhusu Music alijibu kuwa kwa sasa ameshakua na Mashabiki wake wataendelea kupata vitu vikali kama kawaida. 
JOJOTHEFIGHTER WISH YOU ALL THE BEST NICK WA PILI

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...