21 October, 2014

TAADHARI:::::::!!!.

Kuna watu 3 au 4 wanapita majumbani wakidai wanatoka kampuni ya maji wamekuja kuweka bomba ya mvua ili kuokoa upotevu wa maji au watadai wanatoka Eskom au sehemu kama hizo wanabadilisha balbu bure. Wameonekana sehemu nyingi. USIWARUHUSU kuingia ndani ni wezi majambazi wa kutumia bunduki. . Hakikisha milango na madirisha umefunga na usiwaruhusu watoto kuwafungulia wageni wasiowajua. Unaruhusiwa kushare ili kuwapa taarifa wengine!!!TUOKOANE JAMANI!!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...