24 October, 2014

WANANDOA WAKUTWA WAMEKUFA CHUMBANI!


Wanandoa James Gaskell (kushoto) na Alexandra (kulia) wamekutwa wamefariki ndani ya chumba karibu na jengo la Taj Mahal, nchini India.
Madawa yaliyokutwa katika chumba chao.
Madaktari na polisi wakifanya uchunguzi ndani ya chumba hicho.
Hoteli ya Maya waliyokutwa wanandoa hao wamefariki karibu na Tajganj, India.
Wanandoa James Gaskell (27)na mke wake Alexandra (24) walimu katika chuo cha Manchester International College, wenye shahada ya kwanza wamekutwa wamefariki ndani ya chumba karibu na jengo la Taj Mahal, nchini India.  Watu hao wanasadikiwa kufariki Jumatatu iliyopita na kugundulika jana.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...