30 November, 2014

AJALI YA HELICOPTER YAUA 4 DAR TANZANIA

image

Ajali Ya Helicopter Imetokea jana mchana.
AJALI hiyo imehusisha HELICOPTER YA MALI ASILI TANZANIA NA ABIRIA WOTE NDANI YA HELICOPTER WAMEPOTEZA MAISHA.
WALIOSHUHUDIA WANASEMA:
” helikopta ya maliasili imedondoka maeneo ya Kipunguni karibu na Moshi bar na kuua wote waliokuwepo ndani yake wakiwemo polisi.”

  ABIRIA 4 WALIOKUWA WAKIAAFIRIA HELICOPTER YA MALI ASILI WAMEPOTEZA MAISHA YAO UKONGA KARIBU NA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT.
Ni majuzi tu wakati ndege iliyowabeba viongozi wa Serikali waliponea chupuchupu baada ya Helicopter ya Polisi kuanguka uwanjani hapo wakati ikijaribu kuruka.
Ajali ya jana Imeibua maswali mengi kuhusu usalama wa Ndege za Helicopter Tanzania.
Aliyeshuhudia;
” Watu wanne waliokuwa kwenye helkopta ya TANAPA Maliasili wamefariki baada ya helkopta kuanguka Katika eneo la Ukonga Kipunguni B.”

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...