03 November, 2014

KIDUME ALIYETAKA KUMPIGA JAJI WARIOBA HUYU HAPA!

PAUL  MAKONDA   KIJANA   ASIYEJITAMBUA  KWA  KUKOSA  NIDHAMU  BAADA  YA  KUTAKA   KUMPIGA  MZEE  WARIOBA.
 HAPO  CHINI  NI  KAULI  ZA  WADAU  KUHUSINA   NA UHUNI   WA  KIJANA  HUYU    JINSI  WATU  WALIVYOMLAANI...

Upuuzi ni kipawa. Na Kwa hakika Paul C. Makonda kajaliwa kipawa hiki kwa kiwango cha kujaa na kusukwa sukwa. Ameleta kundi la vijana kumzomea Warioba akaona haitoshi wakaanyanyua mabango akaona haitoshi, akaambia wamrushie viti mzee Warioba, wakarusha.. watu wakamtoa Warioba kumnusuru. Alipoona azma yake ya kumjeruhi mzee wa watu imeshindikana akamfuata Warioba mwenyewe.. Akamkwida shati.. Akataka kumpiga makofi mzee wa watu.. Hapo ndipo Uvumilivu ulipotushinda na kumdhibiti huyu mhuni Makonda aliyetumwa na Samweli Sitta kuja kuharibu kongamano.!!

BREAKING NEWS.!!
Tupo kwenye kikao nyeti sn usiku huu, taarifa zilizotufikia punde ni kuwa fedha zilizoratibu uhuni wa leo pale Blue Pearl Hotel zimetolewa na Mzee Samwel Sitta. Huyu mzee ndo amempa fedha Paul C. Makonda kutafuta vijana wenye njaa na kuwalipa kuja kufanya fujo. More updates 

    Vurugu zilizo tokea kwenye mdahalo wa leo wa katiba ni upuuzi mtupu. Huu ni wakati muafaka kwa watu wenye weledi kuwa elimisha watanzania masuala ya msingi kuhusu katiba yao kabla ya kura ya maoni ya wananchi wote!
    Ni upumbavu kutoka nyumbani kwako na kwenda kufanya vurugu. Tunalea ujinga!

Ndugu pichani inaonyeshwa Paul Makonda mwenye shati Nyeupe kiongozi kijana kutoka ccm akimfanyia Fujo mzee wetu Jaji warioba na walinzi wakimzuia hii ni dharau kubwa kwa Taifa ambao tunaheshimu Uhuru wa mtu kama Katiba ya mwaka 1977 inavyosema sisi kama vijana tunatakiwa hulilaani kitendo hiki kwani niudhalilishaji wa Wazee wetu ambao wamelitumikia taifa hili kwa udilifu wa hali ya juu inaumiza sana watanzania wangu sisi vijana watanzania tutakuwa wajinga sana kama hili suala...
See More
 — with Manawa Bukwimba and 28 others.

Sina cha kusema maana nimetamani kulia, yaani Makonda anamshambulia Jaji Warioba, Baba yetu, Babu yetu sisi vijana, kiongozi anaeheshimika si tu kwa wanaccm bali hata kwetu upinzani. Naomba watanzania mtafakari na mchukue hatua ya nini chakumfanya Makonda.
 — with Patrick Ole Sosopiand 49 others.

Chama kinachobeba na kulea tabia mbaya na chafu ya kufundisha na kuhamasisha vijana wake kuhudhuria midahalo si kwa lengo la kujifunza na kujibu kwa hoja bali wazomee viongozi wazee tena wa chama chao, waliobeba sehemu ya historia ya nchi inayoongozwa na chama chao, tena waliokuwa marafiki wa muasisi wa Taifa na chama chao ni jambo la kusikitisha sana.
Vijana wenye tabia za namna hii wanazitoa wapi? Je, kwa walezi wa Umoja wa Baraza lao au kiburi cha viongozi wa chama chao??
Nikiwa kama Naibu Katibbu wa Bavicha Tanzania Bara (Tanganyika) nalaani sana kitendo hiki. Na napenda kusema waandishi, watanzania wote kiujumla mlio ndani ama nje ya nchi, BAVICHA hatukubaliani na hili. Na hatupo tayari kuwa chanzo cha kufanya tabia kama hizi popote oale kwa Wazee wetu wenye heshima ya Taifa letu. Na nasihi Bavicha wenzangu popote tulipo tumuheshimu mzee Warioba kutokana na historia yake, kutokana na nafasi yake bila kuangalia cheo chake ama chama chake.
Binafsi nawalaani vijana wote mnaomzomea ama kumbeza Mzee Warioba, eti kwa kuwa tu mnalinda masilahi ya baba zenu. Si sawa, hayo mnayomfanyia ni sawa na kumfanyia Hayati Mwl Nyerere kama angekuwa hai endapo msingefanana nae kimawazo na kimaamuzi. Ni dalili ya utovu wa nidhamu ambao mngekuwa nao endapo hata Nyerere angekuwepo..
Watanzaia UVCCM, amefanya kosa kubwa sana kupitia Makonda. Haikubaliki,
Haya mmeona sasa.Vijana wa CCM  wanawarushia Chupa akina mzee Warioba aliyefanya kazi na Mwalimu Nyerere,Mzee Butiku mshirika wa Karibu wa Nyerere.Kwamba Mwalimu Nyerere angekua hai leo angerushiwa chupa na vijana wa CCM waliohongwa ujira kiduchu tu

Wote waliofanya haya tumewapiga alama akiwepo yule kijana wa Bunge la Katiba. Vijana wazalendo msubirini msaliti huyu mitaani ! ! !

Niliwahi kusema CCM watasababisha Machafuko ili tuwasusie

Leo ni siku ya Aibu.Kitendo cha Wana-CCM kuvuruga mdahalo ulioandaliwa na Taasisi inayoheshimika ya Mwalimu Nyerere ni kitendo cha aibu na cha kishetani dhidi ya historia na haiba ya taifa letu

Kilichotokea leo ndio sura ya kampeni ya kura ya maoni

Nawaasa vijana tujipange kikamilifu kukabiliana na wahuni hawa bila kujali wanafadhiliwa na chama tawala au watawala wenyewe

Natoa wito na Onyo kwa Idara ya Usalama wa Taifa,Natoa Tahadhari.....

Kama hali hii itaendelea mbele ya macho yao basi tutahanasisha watanzania kukabiliana na hali hii kama ilivyotokea leo 

Watanzania tujiandae.Nawapongeza vijana wote waliosimama kidete dhidi ya wahuni wale

Nawapa moyo wajumbe wa Tume ya Warioba,Msirudi Nyuma.

It is an established fact that Tanzanian politics is characterised by Silent violence perpetuated by one side,The Ruling Party against Opposition and other activists who criticize the Government.Thuggery politics is the means to an end in Tanzania.

They use youths to achieve their wicked political mileage.

They use the young ones to intimidate,harrassing and even assassinating their political opponents.The menace of political thuggery in Tanzania has to be checked in order for us to have a more sustainaible democracy which reflects the government of people,by the people and for the people so tha we can live in a country where leaders are no longer imposed on us by thuggs through their nefarious activities.

We have all what it takes to make Tanzania a giant nation in Africa and Beyond.

People should be able to exercise their franchise right through democratic enviroment without fear of intimidation and harrasement.Political thuggery as a way of doing politics by desperate and unscrupulous politicians should be put in check.

Otherwise,what happened today 'Kwenye mjadala wa Katiba pale Ubungo Plazza" summarises all ! 

Aibu ya Taifa.

Tujipange,tusiwabembeleze

Otherwise,what happened today 'Kwenye mjadala wa Katiba pale Ubungo Plazza" summarises it all !
Aibu ya Taifa.
Tujipange,tusiwabembeleze
Aluta continua,Victory Ascerta...!

Upuuzi ni kipaji. Na Kwa hakika Makonda kajaliwa kipawa hiki kwa kiwango cha kujaa na kusukwa sukwa. Ameleta kundi la vijana kumzomea Warioba akaona haitoshi wakaanyanyua mabango akaona haitoshi, akaambia wamrushie makopo na viti mzee Warioba, wasamaria wakamtoa Warioba kumnusuru. Alipoona azma yake ya kumjeruhi mzee wa watu imeshindikana akamfuata Warioba mwenyewe.. Akamkwida shati.. Akataka kumpiga makofi mzee wa watu.. Hapo ndipo Uvumilivu ulipotushinda na kumdhibiti huyu mhuni Makonda aliyetumwa na Samweli Sitta kuja kuharibu kongamano.!!

Inauma sana kama Warioba anafanyiwa hivi waziri mkuu mstaafu mimi na wewe tutafanyiwa nini? Tafakari chukua hatua.

UKIONA MTU ANAYEJIITA MSOMI, TENA KIJANA, ANATUMIA NGUMI NA VURUGU KUPINGA HOJA, UJUE HATA USOMI UMESHINDIKANA, UHUNI UMEINGIA. PAUL MAKONDA UMEAIBISHA VIJANA WA TAIFA HILI, NA WASOMI WA TANZANIA!

Felix Assey's photo.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...