HIZI NI TETESI TU KUTOKA KWENYE MITANDAO YA
KIJAMII KUHUSIANA NA SAKATA LA NAIBU SPIKA KWENDA UFARANSA ILI
AZIONGOZE VIKAO VYA BUNGE
MHE NDUGAI

JANA NA JUZI CCM WALIFANYA KIKAO CHA SIRI USIKU WA MANANE MJINI DODOMA
KUHUSU SAKATA LA ESCOW, MAMBO YAFUATAYO YALIAMULIWA YAFANYWE :1 NAIBU
SPIKA NDUGAI ASIONGOZE VIKAO VYA BUNGE KWA SIKU 14 IKUMBKWE NDUGAI
ANAENDSHA BUNGE KIUKAMILIFU NA ANAIBANA SERIKAL, 2: MAKINDA AONGOZE
BUNGE KIBABE BILA KUFUATA KANUNI 3:NAIBU SPIKA NDUGAI APELEKWE UFARANSA
ASIONEKANE TZ HADI BUNGE HILI LIMALZIKE NA TAYARI NDUGAI KAANZA LIKIZO
LEO KWENDA PARIS 5: KUMBANA REGNALD MENGI KWA KUWA VYOMBO VYAKE VYA
HABARI VINATOA TAARIFA ZA UKWEL KWA WATZ WOTE KUHUSU UFISAD WA CCM *
Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow
Yericko Nyerere 11:15 Today
Baada ya kujihakikishia kuwa ripoti wameinyofoa kurasa zenye majina na ushahidi wa wizi wote,
Wamekuja na maazimio mawili makubwa,
1. PAC iwekewe kanuni (kibabe) kuwa itoe pendekezo kwa Spika la nini cha kufanya.
Baada ya hapo Spika atalitangazia bunge kuwa amepokea mapendekezo na
ushauri wa PAC hivyo anaiarifu serikali hatua za kushughulikia tatizo
hili,
Hili limeamuliwa spika atumie ubabe bila kuangalia kanuni wala busara.
Hili limeamuliwa spika atumie ubabe bila kuangalia kanuni wala busara.
2. Kwakauli moja vikao vya ccm vimeridhia Mh Ndugai afukuzwe Bungeni kwa siku 14 mpaka mgogoro huu uishe,
Katika kutimiza azimio hilo, nikuwa amepangiwa kwenda ufaransa kwa mapuziko ya siku 14,
Safari yake itakuwa leo jioni,
Nitawaambia shirika la ndege analosafiri nalo na tiketi namba yake soon!
UPDATES: 24/11/2014
Mh Ndugai kaondoka jana saa nne usiku na shirika la ndege la Uswis
kuelekea Paris kwa mapumziko, Tiketi namba yake ni A23 Daraja la kwanza,
Mornie Tz nation
No comments:
Post a Comment