Hii habari iliandikwa na dail mail tangu mwaka 2011ila si vibaya tukajikumbusha leo...!

Vyumba vya kulala wake zake

Jamaa mmoja raia wa India anayejulikana kwa jina Ziona Chana mwenye umri wa miaka 38 (mwaka 2011) mwaka huu atakuwa na miaka 41 mwenye wake 39 pamoja na watoto 94, Wakwe 14 na wajukuu 33 mpaka mwaka huu 2014 huenda watoto, wake, wakwe na wajukuu wakawa wameongezeka!! Ambapo familia yote inaishi katika nyumba moja yenye vyumba 100.


No comments:
Post a Comment