09 December, 2014

KAULI MBIU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU

  • “Ingia katika historia ya nchi yetu jitokeze kuipigia kura Katiba inayopendekezwa”.
 Maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika yanafanyika hivisasa katika uwanja wa uhuru jijini Dares salaam.

Vikosi vya ulinzi na usalama katika maadhimisho hayo.

Mamia ya wananchi wajitokeza katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika.

Wananchi waliohudhuria maadhimisho ya uhuru ya uhuru.

Jukwaa kuu ambapo viongozi mbalimbali wanaingia katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhur wa Tanganyka.

Maelfu ya wanachi wajitokeza katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika leo jijini Dares salaam.

Vikosi vya ulinzi katika maadhimisho hayo.

Maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika yamefanyika leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Katika maadhimisho hayo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...