15 December, 2014

MGANGA AWACHOMA MOTO WATEJA WAKE HUKO TANGA WAKATI AKIFANYA TAMBIKO, MMOJA AFA

Mganga wa tiba za asili Omar Kikukwa mwenye miaka 32  Wilayani Kilindi anashikiliwa na polisi kwa kuwachoma moto  wateja wake na kusababisha mmoja wao kufariki dunia.
Aziza Hassan mmoja wa wnaafamilia walionusurika katika mkasa huo alisema mama yake pamoja na watoto wake wawili walipelekwa kwa mganga wa kienyeji na baba yao wa kufikia  kwa ajili ya kufanyiwa tambiko.
Alisema kuwa walipofika kwa mganga huyo na kuanza kufanyiwa dawa ambapo ilifanyika ndani ya shimo ambalo liliezekwa kwa nyasi juu yake na kuachwa nafasi ndogo kwa ajili ya kuingilia ndani ya shimo waliloambiwa ndipo dawa inatakiwa kufanyika huku baba yao akibaki nje na mganga.
Alisema baada ya muda walidhani mganga ameshamaliza  na aliwajibu dawa bado inaendelea na gafla mganga huyo aliwasha moto mkubwa na kuanza kuwaka ndipo akawaamrisha watoke shimoni huku moto ukiendelea kuwaka hadi mlangoni.
Alisema baada ya moto kupungua walitoka huku wenzake wakiwa hawajiwezi kabisaambapo baba yakena mganga waliwakataza kwenda hospitali na kuwaambia kuna daktari wao anakwenda kuwatibu katika kijiji cha jirani na hapo huku mwenzao mmoja akipoteza maisha.
Kwa sasa mganga huyo anashikiliwa na polisi kwa kosa lakusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu kwa moto.
HIZI NDIZO PICHA NA LIST ZA WASANII WA BONGO MOVIE WALIOFARIKI WAKIWA BADO NA UMRI MDOGO SANA!! 2:50 AM No comments RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa! RECHO: KUZALIWA 1988 KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS KUAMBIANA: Hapa ndipo yalipo makazi ya milele ya Adam Kuambiana. KUAMBIANA: KUZALIWA: 1976 - KUFARIKI: 2014 UMRI: 38Yrs JOHN MAGANGA: Haya ni makazi ya John Maganga akiwa anatimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa. JOHN: KUZALIWA: 1988 KUFARIKI: 2012 UMRI: 24Yrs MALISA: Haya ni makazi ya milele ya msanii mwingine Malisa ambaye ameshatimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu atutoke. ZUHURA: KUZALIWA: 1974 KUFARIKI: 2013 UMRI: 39Yrs KANUMBA: Haya ni makazi ya milele ya Kanumba ambaye sasa ana mika kadhaa. KUZALIWA: 1984 KUFARIKI: 2012 UMRI: 28yrs Hakika vijana wengi hivi sasa wanaondoka duniani mapema mno, wakiwa na umri chini ya miaka 30 na 40. Na hao ni baadhi tu ya wasanii huku wengine kama kina Sharo Millionea, George Tyson na wengine lukuki waliotangulia mbele ya Haki. Kama yanavyojionesha makaburi yao, ambao wate wamelazwa sehemu moja ya Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam. HAKIKA MBELE YAO, NYUMA YETU. MUNGU AZILAZE ROHO ZAO PEPONI - AMEEN!

Your Online Store Builder : http://bit.ly/123sell

 NAKUPENDA TANZANIA
 
No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...