26 December, 2014

POLE SANA PATCHO MWAMBA

Inasikitisha kuona kwamba watu tuna tumia mitandao yakijamii vibaya mie nna matatizo ya allergy na pombe, vumbi na plastck juzi nlikunwa windock nkajikuta nimevimba wenyewe nkapost picha yangu insta kuomba ushauri kwa fans sasa wakaandika eti nlifumaniwa na mke wa watu nakupigwa huo upuuzi kweli

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...