09 December, 2014

WEMA: KUFANYA KAZI NA MSANII MKUBWA KUTOKA GHANA

wema_sepetuu77
Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu, hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.
Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van. Jina la movie hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa tutakujuza.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...