shilole,

Nyota wa muziki wa mduara nchini,  Shilole aka Shishi Baby amejikuta anaangukia pua baada ya kujilazimisha kuandika ujumbe wa kiingereza katika akaunti yake ya facebook na twitter  kwani Kiingereza alichoandika kilikuwa ni ‘Broken’ kiasi cha kufanya watu wajiulize mara mbili kuwa alivyoenda nje ya nchi aliweza vipi kuwasiliana na wazungu na watu wengine waishio huko.
Tazama ujumbe wake uone alivyojikanyaga.. Kiingereza ni noma…..
SHI