
Hiki ndicho Zari alichomwambia Wema
Zari Ameibuka na kumwambia Wema
Sepetu kuwa Diamond Sio Mume wa mtu
na wala sio mchumba wa mtu kwa sasa
hivyo kitendo cha yeye kutoka out naye
ni sawa kwani ni maamuzi ya Diamond
Mwenyewe kwa vile kwa sasa yupo huru
kabisa..Hivyo Wema Sepetu na Team yake
wakae Kimya Waangalie tu jinsi Project
inavyokwenda kwani muda wake wa
kujivinjari na Diamond ulishapita....
No comments:
Post a Comment