Kamusi
Hii ndiyo kamusi pekee kubwa na yenye maneno mengi zaidi katika kamusi za Kiingereza – Kiswahili. Ni kamusi iliyoandaliwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Tanzania (TUKI). Hii ni maalum kwa ajili ya kompyuta, nimeitafuta upande wa simu sijaiona ila naendelea kuitafuta. Ni nzuri sana kwa wanafunzi wa sekondari hata wa vyuo au kwa yeyote mwenye shida katika kiingereza. Ina pande mbili, unaweza kuisoma kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili au Kiswahili kwenda Kiingereza kwa kutumia browser tu yaani Mozillar firefox, googlechrome au hata internet explore. Ukishaipakuwa i-extract na uendelee kuitumia, na kui-extract ni rahisi tu right click na utaona option ya ku-extract.
Download kwa kubonyeza hapa => TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary (1140 downloads ) Zingine kama hii:
Ongeza ufahamu katika lugha ya Kiingereza mp3
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can ...
No comments:
Post a Comment