09 March, 2015

SIRI YAFICHUKA! DK. SLAA ILIKUWA AUWAWE WIKI HII!!

'huyu ndiye khalid kagenzi mlinzi na msaidizi wa dr.willibroad slaa aliyekuwa anatumiwa na usalama wa taifa pamoja na makamu mwenyekiti wa ccm philip mangula kuvujisha siri za vikao vya juu vya chadema pia kula njama ya kumuuwa dr.slaa kwa sumu ndani ya wiki hii.

kwa maana hiyo wiki hii chadema na wananchi wa tanzania kiujumla tungekuwa na msiba mkubwa wa kufiwa na kiongozi mkubwa dr.slaa.
mlinzi huyu mlinzi wa karibu wa dr.slaa alianza kuchunguzwa na makachero wa chadema #CIS pindi aliponaswa akipanda gari la usalama wa taifa TISS.

Ndipo makachelo wa chadema CIS yani maana yake ni CHADEMA INTELLIGENCE AND SECURITY walipoanza kufanya uchunguzi wa mawasiliano ya mlinzi huyo katika simu zake na ndipo wakakuta ana mawasiliano ya karibu na makamu mwenyekiti wa ccm philip mangula pamoja na maafisa usalama wa taifa TISS 22.
wakati akiendelea kuhojiwa mlinzi huyo alitoa sim card zake kwenye simu yani laini airtel na tigo na kuzimeza ili wanaomhoji wasijue mipango mingi anayofanya kati ya baadhi ya viongozi wa serikali,ccm pamoja na usalama wa taifa.
mlinzi huyo amekubari kwa kinywa chake na maandishi kuwa ni kweli anafanya mawasiliano na watu hao pia amekiri kuwa ni kweli ndani ya wiki hii walipanga kumuuwa dr.slaa.

mimi nimesikitishwa na mipango mibovu ya akina mangula pamoja na hao TISS .wameshindwa kuwathibiti watu wanaovuruga chama chao,wameshindwa kutatua migogoro ya chama chao nchi nzima wanakimbilia kupanga kumuuwa dr.slaa.

dr.slaa atakufa kwa mapenzi ya MUNGU na sio kwa mapenzi ya TISS na ccm pamoja na shetani wao.kuna watu na viongozi wa dini wanaofunga na kuomba kwa ajili ya chadema na taifa kiujumla.

MUNGU mlinde dr.slaa ilinde chadema MUNGU lilinde taifa maana najua ccm sawa na punda aliyetaka kukata roho maana hurusha sana mateke na kama upo karibu unaweza kudhurika.'
Huyu ndiye Khalid Kagenzi mlinzi na msaidizi wa Dr.Willibroad slaa aliyekuwa anatumiwa na usalama wa taifa pamoja na makamu mwenyekiti wa ccm philip mangula kuvujisha siri za vikao vya juu vya chadema pia kula njama ya kumuuwa Dr.Slaa kwa sumu ndani ya wiki hii.
Kwa maana hiyo wiki hii chadema na wananchi wa Tanzania kiujumla tungekuwa na msiba mkubwa wa kufiwa na kiongozi mkubwa Dr.Slaa.
Mlinzi huyu ni mlinzi wa karibu wa Dr.slaa alianza kuchunguzwa na makachero wa chadema ‪#‎CIS‬ pindi aliponaswa akipanda gari la usalama wa taifa TISS.

Ndipo makachelo wa chadema CIS yani maana yake ni CHADEMA INTELLIGENCE AND SECURITY walipoanza kufanya uchunguzi wa mawasiliano ya mlinzi huyo katika simu zake na ndipo wakakuta ana mawasiliano ya karibu na makamu mwenyekiti wa CCM Philip Mangula pamoja na maafisa usalama wa taifa TISS 22.
Wakati akiendelea kuhojiwa mlinzi huyo alitoa sim card zake kwenye simu laini ya Airtel na Tigo na kuzimeza ili wanaomhoji wasijue mipango mingi anayofanya kati ya baadhi ya viongozi wa serikali, CCM pamoja na usalama wa taifa.
mlinzi huyo amekubari kwa kinywa chake na maandishi kuwa ni kweli anafanya mawasiliano na watu hao pia amekiri kuwa ni kweli ndani ya wiki hii walipanga kumuuwa Dr.Slaa.


Dr.Slaa atakufa kwa mapenzi ya MUNGU na sio kwa mapenzi ya TISS na CCM kuna watu na viongozi wa dini wanaofunga na kuomba kwa ajili ya CHADEMA na taifa kiujumla.
MUNGU mlinde Dr.Slaa, MUNGU lilinde Taifa la Tanzania.
 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...