09 March, 2015

WATOTO 16 WAKUTWA WAMEFICHWA PASUA - MOSHI!

Watoto wapatao 17 wamepatikana wakiwa wamefichwa mkoani Kilimanjaro eneo la Pasua mjini Moshi wakiwa wanapatiwa mafunzo ya siri ya maadili ya kiislamu kwa zaidi ya mwaka huko wazazi wao wakiwa hawafahamu wako wapi.

Kwa mujibu wa ITV watoto hao wengine waliletwa na wazazi ambao hawakuwaeleza ukweli wazazi wenza wenzao na wengine walikuwa wametoroshwa bila habari zao kufahamika.

Kisichofahamika mpaka sasa ni kwa nini mafunzo hayo yawe yawe ya siri? Jee hii inatofauti gani na yale ya Nijeria ya kuteka watoto inayofanywa na Boko Haramu?

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...