28 April, 2015

UKIKAA KARIBU NA MAUA RIDI LAZIMA UNUKIE MAUA RIDI!!

Jojo The Fighter katika pose na mkongwe katika Siasa; Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo, ndie Mtanzania pekee anaemiliki Helicopter Tanzania
 
JoJoTheFighter katika pose na Dokii msanii mahiri wa filamu, maigizo na Muziki Tanzania
 
Muandaaji na Mcheza Filamu wa kitambo Mahsein Awadh, (Dr. Cheni) katika pose na JoJoTheFighter & Mtoto mzuri Jamila
 JojoTheFighter katika pose na mama wa Pressure Hafsa Kazinja, msanii wa Muziki Tanzania
 Jacob Steven "JB" Muandaaji na mchezaji wa Filamu Tanzania
JojoTheFighter Watatu kutoka kulia,  katika picha ya pamoja na maharusi Joseph Shalua (Mwandishi wa vitabu vya Saikolojia na Mahusiano) na mkewe Loveness, pembeni ya bibi harusi ni Imelda Mtema mwandishi wa Global Publishers Ltd.
Kutoka kulia, Mzee Pwagu (mchekeshaji mkongwe wa maigizo ya Radio na Televisheni) akifuatiwa na Mzee King Kikii (Mwanamuziki mkongwe almaarufu kama Mzee wa Kitambaa cheupe), kushoto ni mchoraji mahiri wa picha kutoka Zanzibar katika picha ya pamoja na JojoTheFighter


Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mercy Sila, katika pose na JojoTheFighter kulia 
Mahsein Awadh (Dr. Cheni) & Issa Mussa (Cloud) wasanii wa wakongwe na mahiri Tanzania katika picha ya pamoja na JojoTheFighter

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...