Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amekamatwa usiku akiwa uchi kwa madai kuwa
alikuwa akiwanga katika duka moja lililopo kijiji cha mpunguti Mkoa wa
Mbeya.
Mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa mtoto huyo ni mzoefu
kwa kuwa wafanyabiashara wamekuwa wakipotelewa na fedha katika amzingira
ya utata ambapo walitega mtego ili kubaini upotevu huo na kumbaini
akiingia kwenye duka moja ambalo linadaiwa kuzindikwa.
Taarifa za
awali kutoka kwa wakazi wa eneo hilo zilidai kuwa mtoto huyo alikuwa
anaishi na bibi yake ambaye alimfukuza kutokana na tuhuma za ushirikiana
na kukimbilia msituni kutokana na kukosa pa kuishi.
Inasemekana
mototo huyo aliishi misituni kwa zaidi ya miezi mitano ndipo aliporejea
na kuolewa lakini ndoa yake haikudumu kutokana na maisha kuwa magumu na
akaamua kuanza mbinu za kichawi kwa kuibia watu.
Alianza kufungua
kufuli za maduka kwa kutumia kidole gumba huku akiwa uchi na alinaswa
na kupelekwa kwenye ofisi za kata ambapo anashikiliwa hadi sasa
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can ...
No comments:
Post a Comment