27 April, 2015

NYETI ZAHAMIA MAPAJANI BAADA YA KUTEMBEA NA MKE WA MTU

Picha za Jamaa mmoja zinasambaa mitandaoni  inasemekana amejikuta sehemu za siri pamoja na makalio zimehamia mapajani baada ya kutembea na mke wa mtu..nimeshindwa kuzionyesha hapa kutokana na maadili ila kwenye hiyo picha sehemu za siri zipo hapo pajani kwenye mguu wa kulia kwa chini kabla ya goti.. Michepuko noma.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...