27 April, 2015

SHAMSA FORD AJICHANGANYA!


Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.”

Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto

Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo wakiwa wanadendeka wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa alijitokeza na kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi karibuni na kusisitiza Nay ni binamu  yake

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...