27 April, 2015

BIFU LA SIWEMA NA SHAMSA FORD LAPAMBA MOTO!

  • Siwema Amcharukia Shamsa Baada ya Kujinadi kuwa yeye ndio Anajua Uchungu wa Mwana

Bifu kati ya Siwema na Mwigizaji Shamsa Ford linazidi kuwa kubwa baada ya wawili hao kujibizana mitandaoni huku kila mmoja akijinadi kuwa ndio Bora kwa Nay wa Mitego ..

Shamsa alipost picha akiwa na mtoto wake na kuandika yafuatayo chini ya picha hiyo:

Maneno hayo yalimchoma sana Siwema Mpenzi wa Nay wa Mitego wa zamani na kuona kama anaambiwa yeye ambae alizaa kwa Operation, Kisha na yeye akamjibu Shamsa Kama Hivi :
Ads by diamondataAd Options

Je kuna ukweli wowote wanaozaa kwa Operation hawajui uchungu wa Mwana?

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...